Je, inawezekana kurisiti(kurudia mtihani wa kidato cha 6), ukiwa chuoni?

Loockman

Member
Jan 21, 2019
73
17
Naombeni msaada nimefanya mtihani wa form 6 mwaka jana. Nilisomea PCB nimekosa point mmoja tu nina E ya physics ila mengine yote na C

Lengo langu kubwa nije kusoma course ya afya. Wazo langu nitafute chuo chochote mwaka huu.

Je, nikiwa chuo na ruhusiwa kurisiti yaani kufanya mtihani wa kidato cha sita?

Asanteni na naomba msamaha kwa kiswahili kibovu wakuu
 
Hauwez course za chuo Sio mchezo mzee baba hasa za afya
Ww tafuta kwanza Hiyo credit Ndiyo uombe chuo
Acha kujifanya genius wakat ulishindwa kuflash ukiwa six
Tulia acha papara kijana
Utawehuka bure ukipata supp mbili utatamani kuacha chuo ukiangalia
Mechanics, quantum physics, vinakukaba kona hii ukufa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada nimefanya mtihani wa form 6 mwaka jana. Nilisomea PCB nimekosa point mmoja tu nina E ya physics ila mengine yote na C lengo langu kubwa nije kusoma course ya afya. Wazo langu nitafute chuo chochote mwaka huu. Je nikiwa chuo na ruhusiwa kureset yaan kufanya mtihani wa kidato cha sita?????? Asanteni na naomba msamaha kwa kiswahili kibovu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na kurisiti sama course inayoendana na marks zako utapoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa course za afya ni uwe una atleast CC NA D ya Physics

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima usomee afya ndugu yangu Mbona wataka kujichosha sana

Shida yako ni nini sababu haya maisha mwisho wa siki uwe na hela mfukoni sio umefaulu vipi

Muda una ends haukusubirii changamkia kozi zingine zenye fursa afya waachie wengine .

Fanya fasta komaa na digrii yako uje kitaa upige hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lazima usomee afya ndugu yangu Mbona wataka kujichosha sana

Shida yako ni nini sababu haya maisha mwisho wa siki uwe na hela mfukoni sio umefaulu vipi

Muda una ends haukusubirii changamkia kozi zingine zenye fursa afya waachie wengine .

Fanya fasta komaa na digrii yako uje kitaa upige hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguu yangu ubaya sijui course yeyote nzuri nisije nikachukua course hapa baadaye nikaja kupoteza muda kutafuta hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom