Kwa mtazamo wangu hao watu wanatakiwa wawe wameshaondoka uongozini kwani wao ndio viongozi wa karibu wa askari hao waliofanya unyama.
Ni aibu kwa mawaziri kujiuzuru kama watu waliotao amri na watekelezeji wakuu wakiachwa na akiwepo na yule askari aliyekuwa kiongozi wa operation tokomeza nchini