Je IGP Mwema na Mwamnyange hapa wao vipi? kwanini wasijiuzuru???

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Kwa mtazamo wangu hao watu wanatakiwa wawe wameshaondoka uongozini kwani wao ndio viongozi wa karibu wa askari hao waliofanya unyama.

Ni aibu kwa mawaziri kujiuzuru kama watu waliotao amri na watekelezeji wakuu wakiachwa na akiwepo na yule askari aliyekuwa kiongozi wa operation tokomeza nchini
 
Hao wanaogopwa mkuu!! Hakuna mwenye ubavu wa kuwalazimisha.

IGP akiungwa mkono na mkuu wa FFU na CID mnatafuta vita!

CDF ndio kabisaaaa mwenye nchi!!

Bado hatujafikia huko kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwajibika smoothly.
 
hawa kujiuzulu kazi sana hasa kwa mtu aliekuwa anatamani siku moja awe vile na pia bado hawajaanda mahali pakustafia mkuu weka ssubira tu..
 
Acha uchochezi mkuu hawa wameongezewa mkataba mpaka wamalize kwanza kuiua CDM mwaka 2015 ndo wasepe.
 
utasubiri miaka 800 mkuu. Jana kagasheki pekee ndio alikuwa na uthubutu wengne walpotea. Chini ya uongoz wa ccm msamiati wa "kujiuzulu" haupo kwenye kamusi yao. Jana Kagasheki aliuiba mahali.
 
Naunga mkono hoja,pia mkuu wa usalama wa taifa nae awajibishwe.

Tatizo JK ni dhaifu lakini hao ndio wanapswa kuondolewa mapems.
 
Kwa mtazamo wangu hao watu wanatakiwa wawe wameshaondoka uongozini kwani wao ndio viongozi wa karibu wa askari hao waliofanya unyama.

Ni aibu kwa mawaziri kujiuzuru kama watu waliotao amri na watekelezeji wakuu wakiachwa na akiwepo na yule askari aliyekuwa kiongozi wa operation tokomeza nchini

Hao mawaziri ni viongozi wa kiasa, wao ndio kwa kawaida wanakua wa kwanza kuwajibika au kuwajibishwa. Serikali inaunda tume ya kuchunguza hao watendaji wengine ambao ndio IGP, mwamunyange na askari wao. Watakaokutwa na hatia watawajibika kwa mujibu wa sheria
 
IGP hana kosa kama ukiisoma ripoti ya kamati. Ila CDF hawezi kukwepa lawama kwa sababu operesheni ilikua chini yake na ripoti ya kila siku ilikua inawasilishwa kwake
 
IGP hana kosa kama ukiisoma ripoti ya kamati. Ila CDF hawezi kukwepa lawama kwa sababu operesheni ilikua chini yake na ripoti ya kila siku ilikua inawasilishwa kwake

Muungwana EVANCE... Rais angekuwa mtu makini...jana hiyo hiyo angewaweka NJE. Tatizo ni JK hana uthubutu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom