Je huyu ni nani?

Huyo ni Illich Ramirez Sanchez. Kwa jina lingine anaitwa "Carlos" The Jackal, mwanaharakati wa dunia miaka ile na jasusi wa amani. Hatakuja kutokea kama huyu...
 
Mtambuzi ni matumaini yangu kuwa utatupa historia nzuri ya huyo mtu. Binafsi nimejaribu kupitia kwenye wikipedia sijaona uanaharakati na ujasusi wa amani aliojaribu kuuelezea Don Calvino Pengine kuna jambo unataka kutukumbusha au kutusimulia.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni Illich Ramirez Sanchez. Kwa jina lingine anaitwa "Carlos" The Jackal, mwanaharakati wa dunia miaka ile na jasusi wa amani. Hatakuja kutokea kama huyu...

Serious speaking nammind jamaa kishenzi wakati ule akiitwa gaidi kwa maana ya wakati ule
 
Mtambuzi ni matumaini yangu kuwa utatupa historia nzuri ya huyo mtu. Binafsi nimejaribu kupitia kwenye wikipedia sijaona uanaharakati na ujasusi wa amani aliojaribu kuuelezea Don Calvino Pengine kuna jambo unataka kutukumbusha au kutusimulia.

Huyu jamaa aliuzwa na Wasudani kwa Wafaransa jamaa wakakunja mkwanja.
Lakini wakati ule anakamatwa kutokana na kuanguka kwa ukomunisti nchi nyingi zilikataa umpa hifadhi ka kuogopa kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi, hivyo akajikuta akitangatanga kila mahali na waati huo hata Ghadafi aliogopa kumhifadhi kwa hofu ya Mmarekani maana, ndipo alipokimbilia Sudani, na jamaa wkamuuza kiulaini
 

Hakuna dhambi mbaya kama usaliti...ni afadhali ukutane na mpumbavu katika upumbavu wake kuliko kukutana na msaliti...! Msaliti hana fikara hana roho ya utu, ni kirusi kibaya mno kuwa na roho ya usaliti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…