Je, huyu mwanamke ana nia ya dhati na huu uhusiano?

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Habari za jioni ndg poleni na miangaiko...

Anauliza kwa haya maelezo hayo apo chini kwenye picha je huyu mwanamke yupo serious na mausiano au anataka pesa tu.....
20180913_174225.jpg
20180913_174246.jpg
20180913_174311.jpg
20180913_174337.jpg
20180913_174353.jpg
20180913_174412.jpg
 
Kuna Msemo wa Kilatini unasema Dum Spiro Spero yaani Wakati Bado tunapumua, Tunaendelea Kuwa na Matumaini!
Kwa Maana hiyo Huyo Mwanamke Hakuna kitu Mkuu yaani Nothing.. Endelea kuwa na Matumaini Mengine!
 
. Wamekutana
Katika uzoefu wangu na Mambo haya Kuna ile Lingua inatumika katika Convo.. zile hisia za Mapenzi ambazo huwa zinakuwa Presented kwenye Maandishi haipo kabisaa.. Maandishi ya Mtoto wa Kike.. Hayaoneshi kabisa kama ana hisia na Mshikaji.. vile vile Ndugu zetu wazungu walisema Nobody is too Busy its Just Matter of Priorities , kwa Excuses ambazo binti anazitoa Pale ni Dhahiri kuwa Hajamfanya Mshikaji kuwa Priority yake!
 
Back
Top Bottom