Je, huyu mwanamke ana nia ya dhati na huu uhusiano?

Hebu na wewe jifunze kuandika bwana
QUOTE="Rohombaya, post: 28357848, member: 47517"]Dah...ukiangaria kwa araka araka....amna kitu apo ... [/QUOTE]
 
.Achana nae hiyo mkuu hakuna kitu kabisa hapo

Achana nae narudia tena achana nae.

Mimi mwenyewe kuna demu alikuwa ananipa ujinga kama huo nikafuta namba yake
 
Back
Top Bottom