Je, huyu mwanamke ameniroga?

Nenda kwa babu.
Hyo lakin itaisha nguvu baada ya muda.
Kuna wanaume pia wanachawia wake zao mwanaume mwengine hatopanda mtungini.
Kama una iman na yesu kristu mwokozi funga na kuomba naye atakuponya.
 
ni psychological problem labda alikutania tu ukikutna na mwanamke mwngne kitakutokea hiki na wewe ushaamin dats y kinakutokea ila kama anakupa kila kitu kwann umsaliti hyo kitu inafanana jombaa cha kufanya ni kumfundisha kile unachokikosa akufanyie yeye mwenyewe
 
Inferiority complex kwa ujumla si hali ya woga kama ambavyo umetafsiri, kwa hapa imetumika kama ni hali ya kutojiamini kutokana na jambo lililokutokea awali hivyo kuhisi litaendelea kutokea, kwahiyo kuhusiana pombe kwahuyo wa mnyira ilikuwa inamfaa lkn kwako sijui wewe unatatizo gani kuwa wazi!
 
Huyo mnyiramba amekuroga usiweze kufanya mapenzi
na michepuko ukitaka ujiokoe na uchawi wa kinyaramba nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Hofu yako tu mkuu, na jinsi unavyowaza hayo matukio, ndivyo itazidi kukutokea. Jiamini na usipanie sana tendo.
 
Mkuu jaribu kupiga punyeto uone kama jogoo ana wika au vipi ukiona chenga nenda kwa babu kacheki radar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…