Je, huyu jamaa yuko serious?

Kwani jamaa kibogoyo au ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila acha nae ajifurahishe na utashangaaa kuna watu huo wimbo wanaupenda.
 
Bangi bwana, inakufanya uwe haireeeeee hata ukitaka kuwa pilot unaweza ukawa ukivuta bangi....😁😁😁
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ntarudi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…