Swadaktaa, hapo walivyofikiria wao ni kuwa hilo lilikuwa jambo dogo, huwezi jua mwanamke amemuharibia mdau mishe zake mara kibao tu.Katenda kosa pia kisheria kuingilia privacy ya mtu.
Wakati huo wewe una haki ya kushika yake?Kupekua sio mpaka uwe umeficha kitu au jambo fulani.
Ngoja nikupe mfano wa kupekua yaani kuchunguzana, unakuta mkeoana uhuru na simu yako, ila anachofanya yeye anataka kujua kila kitu unachofanya, sasa hili tatizo hata kama akiwa na uhuru huo inabidi awe na mipaka, unakuta mwanamke ana wivu kupika kiasi, mpaka analuhatibia baadhi ya "deal" zako mzee mzima, unakuta usha mkanya hakomi, unafikiri kinachofata ni nini ? Unampa likizo ya kujitafakari kwanza kisha akikaa sawa unamrudishwa, kwani kumrudisha mwaname kwao hakuna maana ya kuwa umemuacha, bali unampa fundisho kwanza.
penda kugawana na wenzio, ach uchoyo.😉Aongeze mke wapili kwa nani?
Hayo mambo hayapo kwangu.
Mimi lazima nishike yake, sababu mimi ni msimamizi wake na mume wake, muda ambao yeye asipokuwa au asipo vaa, lazima nitaulizwa kwanini mkeo hajala au kwanini hajavaa.Wakati huo wewe una haki ya kushika yake?
Au kanuni ni kila mtu akae na simu yake?
Mwanamke ana malipizi ya ajabu sana. Usimfanyie kitu ambacho hakipendi kwa sababu unahisi hana cha kufanya.Unasema tu, watoto wa kike huwa mna moto tu kabla hatujaongeza mke wa pili au baada ya sisi kuongeza mke wa pili, ndani ya wiki tu,ile pressure inaisha unaanza kupungua taratibu. Wewe unatakiwa upate mwanaune mfano wangu.
Hilo ndio huwa tatizo mfano jamaa hapo juu. Amesema mkewe kampekua kakuta text imetoka kwa mwanamke kawaka, wengine wanaendaga mbali hadi kumpigia mtuma text na kumshambulia. Kama ni mteja wako au una mchongo nae anakuharibia.Swadaktaa, hapo walivyofikiria wao ni kuwa hilo lilikuwa jambo dogo, huwezi jua mwanamke amemuharibia mdau mishe zake mara kibao tu.
Sisi wanaume tuna penda sana kuwazidi wao, ila wanawake wana wivu wa kijinga sana.
Hiyo sheria ya mtandao haimuhusu mwanamke? SmhMimi lazima nishike yake, sababu mimi ni msimamizi wake na mume wake, muda ambao yeye asipokuwa au asipo vaa, lazima nitaulizwa kwanini mkeo hajala au kwanini hajavaa.
Mimi mwenyewe sijashiba agawe chakula changu kwa wengine?penda kugawana na wenzio, ach uchoyo.😉
Kwani kuongezewa mwenzako ni jambo baya ? Tunajua hampendi ila inabidi iwe hivyo kulingana na silika, mnasahau kwamba kwenye uzito huwa kuna wepesi ?Mwanamke ana malipizi ya ajabu sana. Usimfanyie kitu ambacho hakipendi kwa sababu unahisi hana cha kufanya.
Inamuhusu ndiyo maana imegusa kote kote.Hiyo sheria ya mtandao haimuhusu mwanamke?
Hapa sijakuelewa umemaanisha nini, unaweza kunisaidia kunipa maana ?
Ila mkuu umefika mbali. Wengine kiimani hayo ya kuongeza mke hawayatambui.Kwani kuongezewa mwenzako ni jambo baya ? Tunajua hampendi ila inabidi iwe hivyo kulingana na silika, mnasahau kwamba kwenye uzito huwa kuna wepesi ?
Ongeza mke wa pili uone. Na vile ex wangu nilikuwa nampenda kuliko wewe ila hakuwa na hela. Itakuwa ni wakati wa kumpa papuchi kila siku ukilala kwa bi mdogo.Kwani kuongezewa mwenzako ni jambo baya ? Tunajua hampendi ila inabidi iwe hivyo kulingana na silika, mnasahau kwamba kwenye uzito huwa kuna wepesi ?
Zurri niache.Inamuhusu ndiyo maana imegusa kote kote.
Hapa sijakuelewa umemaanisha nini, unaweza kunisaidia kunipa maana ?
Suala la sisi wanaume kumiliki wanawake wengi siyo tu la kiimani, soma historia utaona, bali imani hasa ya dini imekuja kudhibiti idadi maalumu, ila kuna makabila hayana ukomo wa kuoa wanawake, wapo wanamiliki mpaka wanawake kumi na kuendelea.Ila mkuu umefika mbali. Wengine kiimani hayo ya kuongeza mke hawayatambui.
Kwahiyo hutaki nielewe ulichokiandika siyo ? Siyo jambo zuri kabisa Paula.Zurri niache.
Fedheha itakuwa kwako, sijui kwanza utajisikiaje unafanya malipizi kwa kujivunjia heshima na ku uvua utu wako ?Ongeza mke wa pili uone. Na vile ex wangu nilikuwa nampenda kuliko wewe ila hakuwa na hela. Itakuwa ni wakati wa kumpa papuchi kila siku ukilala kwa bi mdogo.
Wewe wasema.Fedheha itakuwa kwako, sijui kwanza utajisikiaje unafanya malipizi kwa kujivunjia heshima na ku uvua utu wako ?
Pili, ex wako atazidi kukuona hovyo, na kukutumia kama "Big G".
Haki ninayo tena kisheria kulingana na maumbile yalivyo, ila wewe haki hiyo huna sababu ya maumbile hayaruhusu, ndiyo maana ninaoa kisheria mke wa pili, ila wewe huwezi kuwa na waume wawili kisheria, zaodi ya kujidhuru nafsi yako na kuidhuru afya ya akili yako kwa kukigawa kitumbua chako.Wewe wasema.
Hivyo ndivyo mlivyoaminishwa.
Nitampelekea vizuri sana. Hata nikikigawa si ni changu? Unadhani wewe ndio uko na haki ya kuonja ladha tofauti tofauti?
Wewe subiri na uone. Ungekuwa ni mume wangu ukioa tuu unakuwa umenihalilishia kuchepuka.Haki ninayo tena kisheria kulingana na maumbile yalivyo, ila wewe haki hiyo huna sababu ya maumbile hayaruhusu, ndiyo maana ninaoa kisheria mke wa pili, ila wewe huwezi kuwa na waume wawili kisheria, zaodi ya kujidhuru nafsi yako na kuidhuru afya ya akili yako kwa kukigawa kitumbua chako.