Server za jfSasa unamuuliza nani?
AzarelSasa unamuuliza nani?
WatabishaKuhusu habari ya kwenye gazeti,
Hilo linaweza kutokea pale mwanaume anapohisi kwa kukuoa wewe amekufanyia msaada. Ukifanya kosa tuu msaada unasitishwa.
Mwanaume anayejua amekuoa kwa sababu amekupenda na anatambua wewe ni sehemu ya maisha yake anawezaje kukurudisha kwa wazazi wako kwa kosa hilo?
Kwanini mwanamke unapekua simu ya mumeo ? Hizi tunaita choko choko.Kuhusu habari ya kwenye gazeti,
Hilo linaweza kutokea pale mwanaume anapohisi kwa kukuoa wewe amekufanyia msaada. Ukifanya kosa tuu msaada unasitishwa.
Mwanaume anayejua amekuoa kwa sababu amekupenda na anatambua wewe ni sehemu ya maisha yake anawezaje kukurudisha kwa wazazi wako kwa kosa hilo?
Sasa ukikuta ninafanya harakati za kuongeza mke wa pili au wa tatu, huoni litakupa shida wewe mwenyeee au ukaniharibia mipango yangu ?Watabisha
If you've got nothing to hide kwanini unapata hasira?Kwanini mwanamke unapekua simu ya mumeo ? Hizi tunaita choko choko.
Aongeze mke wapili kwa nani?Sasa ukikuta ninafanya harakati za kuongeza mke wa pili au wa tatu, huoni litakupa shida wewe mwenyeee au ukaniharibia mipango yangu ?
Kupekua sio mpaka uwe umeficha kitu au jambo fulani.If you've got nothing to hide kwanini unapata hasira?
Unasema tu, watoto wa kike huwa mna moto tu kabla hatujaongeza mke wa pili au baada ya sisi kuongeza mke wa pili, ndani ya wiki tu,ile pressure inaisha unaanza kupungua taratibu. Wewe unatakiwa upate mwanaune mfano wangu.Aongeze mke wapili kwa nani?
Hayo mambo hayapo kwangu.
Kwa afya ya ndoa hiyo si nzuri. Mtakuja kujikuta mnafarakana, utaamua kesi ngapi mkuu. Simu zina mengi.Najisikia raha akipekua simu yangu, najua ananichunguza kwa mazuri tu ili ajiridhishe, juzi amekuta text ya kawaida ya mwanamke amewaka balaa. Nilimbembeleza, nikamwelewesha akanielewa. Kilichofuata ni romance kwa sana na maneno matamu huku akitamka kwamba penzi letu lisivurugwe na yeyote.