Je huwa ni kweli?

Wewe umewahi kusikia mkimbia lihadha au mcheza mpira kaishiwa nguvu za kiume?
 
Kwani mkuu ww unakazi gani hapa mjini

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HAKIKA HILI NI TATIZO SASA KWA JAMII KWA UFUPI NI JANGA LA KITAIFA
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
 
pole sana rafiki yangu....
kabla sijakwambia cha kufanya ebu naomba uniambie ratiba yako ya kula kuanzia asubuhi hadi jioni ipoje...?

{nitakupa tiba hapa hapa bila kificho harafu utakuja kunishukuru baadae}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…