Je, huu sio ubakaji wa kwenye ndoa?

ndio kwasababu huwa wanaamini wao hawakosei....na kaa usitegemee eti mwanamke akikukosea akupigie magoti kila siku we ni mwanaume
Basi hapo ndipo wanapofeli, mtu yeyote yule akikosea inambidi aombe msamaha hata maandiko yanasisitiza hivyo na kuomba msamaha siyo lazima kupiga magoti.
 
Basi hapo ndipo wanapofeli, mtu yeyote yule akikosea inambidi aombe msamaha hata maandiko yanasisitiza hivyo na kuomba msamaha siyo lazima kupiga magoti.
yaani ukikaa usubrie kuombwa msamaha na mwanamke utaumia sana kwenye mambo mengi wanaume tumeumbwa na roho ngumu sio kama wao akikosea unampa maneno yake ili aelewe ukimaliza hapo mnaendelea na maisha kama kawaid ila ukisubiri mpaka aseme ''samahani'' mkuu utapata tabu sana
 
Tabia ya kununa sio nzuri, kwanza unazuia mibaraka!
Amekosea, ameondoka bila kuomba msamaha, we msamehe yapite. Mwezio karudi jioni keshasahau anasalimia kama kawaida!

Na la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!
Una mdogo ako wa kike? ambaye hajaolewa?
 
Ila twende mbele turudi nyuma, ukiwa na mudi ya kustarehe au kuliwazwa na mwanaume halafu ukapata rijali kweli...

Hisia zote zinabubujikaaa.....

Hiyo ya huyo dada ni zaidi ya HYSTERIA....!!!
Sahihi kabisa
 
Tabia ya kununa sio nzuri, kwanza unazuia mibaraka!
Amekosea, ameondoka bila kuomba msamaha, we msamehe yapite. Mwezio karudi jioni keshasahau anasalimia kama kawaida!

Na la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!
Nimejikuta narudia kusoma hapa, mara tatu tatu!!

To be honest, Sakayo wewe ni the best!!
 
Marahaba hujambo?
 
huo ndo uanaMME......Ila mwanamke akiwa kilaza akakupeleka kwa pilato na ushahidi wa mkasi na vipande vya chupi....hakika hutoki.......ila muwe mnatuhurumia....kwenye mishe tuna stres kibao, kwenye kidudu chako ndo tujipozapo....hatuna michepuko,,,,then unaninyima live,,,,,loba na ngwala....ila ukigusa kipenyo V....mambo tulivu....
 
Hakika!!
Na wote tusema Ameeeen!!
 
Hiyo ndio tiba ya mwanamke mwenye maneno mengi, ugomvi bila sababu hasa kabla ya kulala ni pipe ya kibabe alale huko kimya no kelele.
 
Kosa la kubaka huwa na element mbali mbali ili iwe kosa kama vile, consent,nk.

Kwenye ndoa ubakaji upo na unaitwa marital rape kwa maana mwanaume kumbaka mwanamke ndani ya ndoa...kuna baadhi ya nchi zinakubali kuwa hili ni kosa kisheria na ni kosa kama makosa mengine ya ubakaji

Tanzania hakuna sheria inayosema marital rape ni kosa kisheria kwa maana consent ya mwanamke kuhusu mwili wake kwa mwanaume huwa imeingiwa kipindi wanaoana refer (sheria ya ndoa) kuhusu consent.


Nazani imeeleweka hapa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…