Je, huu sio ubakaji wa kwenye ndoa?

ndio kwasababu huwa wanaamini wao hawakosei....na kaa usitegemee eti mwanamke akikukosea akupigie magoti kila siku we ni mwanaume
Basi hapo ndipo wanapofeli, mtu yeyote yule akikosea inambidi aombe msamaha hata maandiko yanasisitiza hivyo na kuomba msamaha siyo lazima kupiga magoti.
 
Basi hapo ndipo wanapofeli, mtu yeyote yule akikosea inambidi aombe msamaha hata maandiko yanasisitiza hivyo na kuomba msamaha siyo lazima kupiga magoti.
yaani ukikaa usubrie kuombwa msamaha na mwanamke utaumia sana kwenye mambo mengi wanaume tumeumbwa na roho ngumu sio kama wao akikosea unampa maneno yake ili aelewe ukimaliza hapo mnaendelea na maisha kama kawaid ila ukisubiri mpaka aseme ''samahani'' mkuu utapata tabu sana
 
Tabia ya kununa sio nzuri, kwanza unazuia mibaraka!
Amekosea, ameondoka bila kuomba msamaha, we msamehe yapite. Mwezio karudi jioni keshasahau anasalimia kama kawaida!

Na la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!
Una mdogo ako wa kike? ambaye hajaolewa?
 
Ila twende mbele turudi nyuma, ukiwa na mudi ya kustarehe au kuliwazwa na mwanaume halafu ukapata rijali kweli...

Hisia zote zinabubujikaaa.....

Hiyo ya huyo dada ni zaidi ya HYSTERIA....!!!
Sahihi kabisa
 
Tabia ya kununa sio nzuri, kwanza unazuia mibaraka!
Amekosea, ameondoka bila kuomba msamaha, we msamehe yapite. Mwezio karudi jioni keshasahau anasalimia kama kawaida!

Na la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!
Nimejikuta narudia kusoma hapa, mara tatu tatu!!

To be honest, Sakayo wewe ni the best!!
 
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ‍♀‍♀wanaume shkamoo zenu.
Marahaba hujambo?
 
huo ndo uanaMME......Ila mwanamke akiwa kilaza akakupeleka kwa pilato na ushahidi wa mkasi na vipande vya chupi....hakika hutoki.......ila muwe mnatuhurumia....kwenye mishe tuna stres kibao, kwenye kidudu chako ndo tujipozapo....hatuna michepuko,,,,then unaninyima live,,,,,loba na ngwala....ila ukigusa kipenyo V....mambo tulivu....
 
Usione mtu kavaa sarawili yake na tai na koti barabarani ukasema mwanaume si ndo huyu, akiwa faragha ni zaidi ya nyati aahahahahhaa

Usione mwanamke kavaa dera au tite yake ukasema mwanamke si ndo huyu, ukimuweka ndani fulu kununa, kususa, na kubana aahahahahhaa.
Hakika!!
Na wote tusema Ameeeen!!
 
Hiyo ndio tiba ya mwanamke mwenye maneno mengi, ugomvi bila sababu hasa kabla ya kulala ni pipe ya kibabe alale huko kimya no kelele.
 
Kosa la kubaka huwa na element mbali mbali ili iwe kosa kama vile, consent,nk.

Kwenye ndoa ubakaji upo na unaitwa marital rape kwa maana mwanaume kumbaka mwanamke ndani ya ndoa...kuna baadhi ya nchi zinakubali kuwa hili ni kosa kisheria na ni kosa kama makosa mengine ya ubakaji

Tanzania hakuna sheria inayosema marital rape ni kosa kisheria kwa maana consent ya mwanamke kuhusu mwili wake kwa mwanaume huwa imeingiwa kipindi wanaoana refer (sheria ya ndoa) kuhusu consent.


Nazani imeeleweka hapa kidogo.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom