Habari zenu wote wapendwa...........................
Rafiki wa dada yangu amekuwa akilalamika hivi majuzi kuwa mume wake,
amekosa uungwana/upendo na uvumilivu. Huyu dada pamoja na kuwa anaishi mbali na mume wake kutokana na majukumu ya kazi, lakini amekuwa akiisaidia sana familia kwa kugharamia matumizi yote ya nyumbani kuanzia chakula, matibabu, usafiri na mambo yote muhimu ya kimaisha.
Sasa amekuja kugundua kuwa mume wake anatembea na mwanamke mwingine,na isitoshe huwa anamleta mpaka hapo nyumbani. Mara baada ya huyu dada kugundua hayo aliona ni bora asitishe kupeleka fedha nyumbani, ukichanganya na hasira kidogo aliyokuwa nayo basi ndo hivyo tena. Pamoja na haya yote bado mumewe amekuwa ni mtu wa kumletea dharau sana na maneno yasokuwa na heshma. Lakini kwa jinsi huyu bwana asivyokuwa na haya, anazidi tena kumpigia magoti mkewe ili atume pesa za matumizi hapo nyumbani!
wanajamii,Je huu ni uungwana kweli?
Mwanaume gani unaomba fedha za matumizi hadi unapiga magoti kama sio Marioo ni nini??Habari zenu wote wapendwa...........................

Huyu Mwanaume afanyi kazi au ni Marioo tu

Halafu kuna dharau zingine zimevuka mipaka wewe mwanaume gani unaleta nyumba ndogo hadi nyumbani kwako sio tu hauheshimu ndoa yako bali unadhalilisha familia yako nzima. Pambaff kabisa, Shenzi taipu F***&%^
Nani kaolewa kati ya hao wawili? maana mwanaume kuomba fedha za matumizi na kupiga magoti kabisa huo ni ulimbukeni atafute pesa ya kuhudumia ndoa zake zote
Dahhh..
huu si uungwana kabisa na ni aibu sana..
maskini usikute dada wa watu anateseka huko na kazi anatuma fedha nyumbani mumeo anachukua hizo fedha na kutesa na hawara wake... kuna watu hawana huruma kabisaa
Wanawake sijui huwa na shetani gani?
Kwa nini umtunze mume? Mimi mke wangu akininunulia hata c h u p i huwa naamini amechepuka kidogo siku hiyo!
Mwanamume yoyote anayetunzwa na mke wake ni LAZIMA atakuwa anao wanawake wengi nje ya ndoa maana anafurahia "kutunzwa"!
Hiyo red namsubiri Maty maanda ndo mtaalamu wa hao
Dada yangu kuna mambo mengine ni kutiana aibu tu halafu mwanaume mzima unaenda kumpigia magoti mwanamke kumuomba hela ya matumizi halafu anaenda kuzitumia na nyumba ndogo ambayo hiyo hiyo anaileta nyumbani, mimi kwa upande mwingine namlaumu huyu mwanamke analiona kosa halafu bado anaendelea kulifumbia macho maana baadae akija kusimulia mwanamke ndio ataonekana mwenye makosa kwa kuacha upuuzi na ushenzi huu uendelee hata kama ni ndoa, ndoa gani ya kudhalilishana kiasi hicho si ajabu huyu mwanaume anatumia kitanda hicho hicho wanacholala na mkewe kulala na hiyo nyumba ndogo yake.Pumbavu zake kabisa huyu.Leo unamabusara hii nimeipenda sana good boy!!!!
You chop off his thing:biggrin1:Sis saita...
hivi tumfanyeje mwanaume kama huyu???