Je huu ni ungwana!

Nashukuru kiasi kwa maelezo kiasi napo husisha matumizi ya vifaa vya mawasiliano na uungwana ni palemtu ana fungua thread ilo changiwa na watu kadhaa labda page 6, anakutana na page ya sita anatoa mawazo kulingana na michango ilioko kwenye hiyo page moja lakini akimaanisha ndio michango yote iko hivyo! mfano anatukana kwa kuwa amekuta katika page hiyo walio wengi wamedharau stori! ukitaka kujua kwanini kafanya hivyo anadai kamastori ingekuwa ya maana mbona hakuna alie kushauri, ukipitia kila page unakuta watu wameshauri vya kutosha! wasiojua matumizi ya vifaa na wakiwa na sifa ya kuiga misimamo ya maoni hutoa maoni yao kulingana na michango ya ukurasa walo ukuta!
Kujua ukweli wa stori nakubali ni ngumu lakini kuwaasa wahusika ni jambo la busara! kama mtu huamini ni ya kweli nani kakualika kuchangia?
 

#9 .... group discussion.. teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…