ngoja sasa nikwambie kujua mapenzi inategemea na mtu mwenyewe halaf kujua mapenzi haina wembamba wala mnene unaweza kukutana na kibonge akakupelekesha mpk ukashangaa sema wembamba uzuri mnasemaga n wepesi ata kubebeka rahisi ila kuna wembamba wengine ni moto hapo kazi kwako acha kuchagua chagua na wanene waende wapi