Je huu ni nini?

Mkewe kasafiri au anaumwa.atafanyeje sasa?
 
Huyo jamaa inaonyesha kabisa hafanyi kwa kupenda.
 
Ni upendo wa mwanaume kwa mkeweeeeeeee! THAT IS EXACTLY BEING A MAN! Ujue watu sazingine wanajua mradi unavaa suruali basi you are a man. Kumbee wapi. Huyo hata mkewe hamtingishii kitu kidogo naenda kwetuuuuuuuuu. Thubutuuuuuu! Anajua hawezi tena kumpata mwanaume mwnye roho nzuri kama huyo. Afu wanakuwaga shughuli wanaiwezaa si kidogooo.

Kuna mtu ana watoto wawili wadogo hawajaanza hata nursery. Akimkorofisha kidogo mkewe anatishia anapaki begi lake eti anaondoka anawaacha watoto afu hamna mfanyakazi kwani alivokuja alikuja na watoto yeye? Basi jibaba kwa uvivu linampigia magoti abakie. Manake kazini na watoto wale soo. Ikawa ndo mchezo huo.

Siku ya siku mama yake mwanaume akamwambia acha ujinga siku ingine akiondoka usimpigie magoti, mwache aendee. Sahivi watoto wakubwa hawa, akiondoka unafanya shughuli zako unawapeleka day care. Mke asie ulizwa kitu. Akawa kamuweka kiporo. Siku ya siku kama kawaida kikanuka akachukua begi mpaka kituoni hakuna mtu anaemfataa. Akaondoka kweli ile kitia kibri. Mbaba anaamka sakumi, anawaandaa, anapika uji, tengeneza juice, paki maziwa, anawaogesha ule usiku anawaamsha mswaki day care. Usiku akirudi anafagia nje, deki, safisha kusafiii fresh. Mwezi ukakatika mke anashangaa hafatwiii.

Ndo kujirudishaa mwenyewe mikono nyumba kumpigia magoti mumewe. Akamsamehe na kukubli walete beki tatu maana mikazi ya ndani ile mgongo hoiiii! Alikiona cha moto. Mama akiwapa chakula watoto wako "we want dady" Usiku choni wanaita "Dady" Wao na dady yao tu. Haahahaaa!

Wanaume msiogope kazi za ndani, haziuwi. MWANAMKE NAE PIA BINADAMU.
 
Huo tunaita "Uhananga" ama ujuha uliopitiliza..
 
Pengine kuanzia A mpaka D hakuna jibu sahihi.

Sababu Mama watoto inawezekana pia ni mgonjwa yupo Hospitalini
 
Mi napendaga tu ile ya kupokezana kubeba mimba
 
Mama moto atakua mzima mana hata hicho kitenge inaonyesha kafungwa na mzoefu,, kama ni mapenzi yake sawaa ila kama kashurutishwa ndio ubwabwa huo.
 
Inategemea mnavyoish too mwanzo kabl Ya kupat mtoto
 
Huu ni ujuzi alio nao jamaa wa kubeba mtoto wake mgongoni na kumfulia nguo zake...
ni kipaji tu wengine wanacho na wengine hawana... kama huwezi kufanya sio lazima waachie watu wenye vipaji vyao walivyopewa na Mungu wavitumie
 
kwetu hairuhusiwi mwanaume kuingia hata jikoni sembuse kupika na kufanya mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…