Huu ndio utaifa wa mwigulu nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio utaifa wa mwigulu nchemba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamanda mkuu, Oct 5, 2011.

 1. k

  kamanda mkuu Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni siku chache zimepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike ambapo ccm ilitangazwa kuwa mshindi wa kinyang,anyilo hicho huyu jamaa alionekana akigawa sana hela na ndipo nikajiuliza je huyu ndio mtu anaevaa skafu za taifa akidai ni utaifa
   
Loading...