Je, huu kama si utovu wa nidhamu katika kazi ni nini?

Leo unapomwambia mzungu nenda mbio unazo taka kisha piga namba yangu ya simu hii unakusudia nini ?

a).Tuseme hii nchi haina sheria
B).tuseme hii nchi ni ya baba ako au tufahamu vipi?

Hii yote ni Vyombo vya Dola vyetu kutokujua kazi yao na baadae kubakia kuwa vya kihuni.
 
Kwa hali hii kweli watalindwa raia na mali zao? Inaonekana Zanzibar hakuna Polisi kuna wahuni tu wasio jua madili ya kazi zao.

Leo unapomwambia mgeni tena wakizungu kua fanya unavyo taka ? Nikumainisha nchi haina mwenyewe .

Yani hakuna serekali hapa doo sijui jeuri hii wanakua wanaipata wapi hawa?

Tena anakenua meno lilipoambiwa beutyful Aly lover boy,hajui kuwa nanaizalilisha nchi yake na watanzania wote tunaonekana si wamaana.


 
Back
Top Bottom