Je, huo nao ni ushujaa?

Huyo unaye msifia angekuwa ana shauriwa na kushaurika lugha za kejeli na kuitwa dikteta uchwara zisingekuwepo,wapinzani na watu wengine wanaotoa lugha kama hizo ni watu wazima,wenye akili timamu na wanaelimu nzuri pengine hata kumzidi mtu wako huyo unaye msifia,maana yake elimu siyo kwenda darasani tu,ni pamoja na kuwa na busara na hekima na jinsi unavyo tumia busara zako,wanayo yasema ujue kuwa yapo na wameshayaona.
 

Sidhani kama umetumia ......zako kusema uliyosema, mpaka unatoa mfano wa uchaguzi wa USA wakati ninyi mnafuta uchaguzi mkiona mnashindwa!
 
hivi ni mpenda zoe au mpenda dezo. jaribu kuwapa somo wanaochukua m10 ili wapitishe kitu kwa manufaa yao. pia mshauri mkulu kuwa uongozi ni hekima na busara hivyo asikilize hata adui zake
 
Yaani wewe ili angalau kujisitiri ungenyamaza kimya ili tukusahau. Wewe hata kinyonga ana nafuu. Ulianza kutika ccm CCM kwa mgongo wa CCJ akina Six walipokutosa ukahamia CDM na kuandika makala nyingi na kitabu kuiponda CCM ghafla tena umerudia matapishi yako. Huaminiki!
 
Wana JF tuwe na heshima kwa "WABUNGE" wetu wastaafu jamani, looo! yaani mnarusha makavu makavu kiasi hicho!
 
Hivi hata baada ya mwaka mmoja kupita bado haijawaingia kwenye akili zenu kua zama za fedha za wizi hazipo tena?
 
Sijakuelewa.....
 
mpenda Zoe umejidhalilisha sana lakini nimejikuta nikisita kuendelea kukoment baada ya kujua kuwa na wewe ni ccm ..unasubiri mmoja atumbuliwe ukae hapo maana ndio pekee mnachokitafuta...

kila kheri!!
 
Kiongozi gani anaomba watu wamwombee wakati wote but akipewa maono ya maombi kwake ni haramu? Huyu mtu sio mpango wa Mungu hata kidgo. Angalia mateso wanayoyapata watanzania maskini huku nyie mnaonyemelea nafasi za uteuzi mkipotosha watu humu.
 
Acha tabia za kujikomba komba mkuu ili uonekane nawe upo.... Ni bora nipige Story na vibonzo vya masoud kipanya na sio akili hz za vijana wa rumumba
 
Hivi wewe si mtaalam wa mazingira? Shinyanga yote karibia itakuwa jangwa hebu kajikite huko utuokolee kizazi. Siasa za woga zimepitwa na wakati hazitakiwi kurejeshwa kwa mlango wa nyuma. Uhuru wetu wa kikatiba wa mikusanyiko kamwe usipokwe kwa visingizio vyovyote vile. Tunataka mikutano tuikemee wazi wazi rushwa ya milioni kumi kumi iliyogawiwa wabunge wa CCM. Achana na siasa za kumtetea wa nyumbani, nafasi za uteuzi zimewisha na kuuotesha mkia siyo kazi rahisi.
 
Frediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Tafuta Kazi ya kufanya , huu unaoufanya sasa hivi ni Unyambilisi tu.Mkia haurudi kwa style hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…