heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Conspiracy:,,,,,
Wahaini wamekuwa wengi hukumu ya kidhalimu ikitoka si chini ya watu 200 watahukumiwa kunyongwa,
Vijana innocent kupewa kesi kubwa tena asilimia kubwa wakiwa hawana hatia inayostahili kupewa kosa hilo hii ipo kimkakati sana na hawajakosea kwa wanachokifanya wanamaanisha,
Je Reis ataingia ktk historia ya kuruhusu sheria ya kifo ifanye kazi? Ianze kutekelezwa?; either kwa kutaka au kutokutaka
Kuna kafara za aina mbili moja ya damu kumwagika, na ingine damu isimwagike
Mfano ajali za kuua watu wengi zinazohusisha damu kumwagika na ajali za meli zinazohusisha kifo bila damu kumwagika
Nature ya Nchi yenu hio kafara zake zinazofanya kazi ni ile ya damu kutokumwagika amabyo ndo huendelea kuwarestrain watu ktk uzezeta wao,
Kilichotokea 0ct29 si kwamba gavo ilikuwa haiwezi kuzuia watu kufa kiasi kile,ilikuwa inaweza fika kufanya ata jambo lenyewe lisitokee ila kwanini waliamua kukaza mpaka yakatokea.
Yametokea ila Nature imegoma kupokea sadaka that why watu wamekuwa reckless and unrestrained anymore,
Ukishaingia maagano ya hilo taifa ukanywa na kile kikombe watu unawaona kama Nguruwe au sisimizi,uongo kwako ndo ukweli na ukweli kwako ndo uongo,unakumbuka ile kauli ya nywi nywii nywaaaa ule ni mlio wa nguruwe akiwa amebananishwa ili achinjwe hutoa mlio huo nywiiii nywiii , kwa maana kwamba aliona watu wake kama Nguruwe means hakuna atakae toa mlio ni za kichwa tuu.
Nataka kusemaje damu zilizomwagika zimekuwa rejected watu waliokufa ni ushindi kwa wanachi kilichobaki ni 9D kuchukuwa nchi yenu hakuna atakaepigwa risasi tena
Kilichobaki mkononi kwa watawala ni hao waliopewa kesi ya Uhain,waliokuswanywa mikoa yote 10 iliyofanya vurugu wahukumiwe kunyongwa na hukumu ya kifo itekelezwe haraka maana hao hao ndo last scape goats( kumbuka mtu akinyongwa hatoki damu) na maiti hairudishwi, wakiona itakuwa ngumu basi tutarajie ajali yoyote ya meli either ziwani au baharini(marehem watapatikana baadhi na wengine watapotea majini hakuna damu.
Tofauti na hayo this Inhumane regime inaenda kuanguka vibaya
Utashangazwa majibu ya tume yatakuja na idadi ndogo ya kwamba watu waliokufa hawazid 50 kila mkoa tena watasema wameuwana wenyewe kwa wenyewe kwa kuchomana vitu vyenye ncha kali, utaambiwa polisi walikuwa wanajaribu kuwadhibiti wahalifu waliokuwa na silaha walizoiba kwa kuvamia vituo vya polisi.
We hujiulizi kwanini kulikuwa na polisi waliokuwa wamevalia kiraia
Na waliokuwa wamevalia sare? na walikuwa wanatembelea gari za private wakiwa na mabunduki basi ripoti itawakana wazi wazi na kusema waliiba silaha wakawa wanashambulia raia na polisi mchezo unaisha ivo
Kwanini viogozi wa dini moja wanapingana hasa Muislims baadhi ya Masheikh na baadhi ya wachungaji. Jibu ni simple wanatetea utawala wa giza maana nao ni maajenti hawataki kuona shughuli zao zikifail
Za kuambiwa changanya na zako