Je, hizi ni chale za kichawi au mikwaruzo?

6271652-4e7b285f675090dea1f3fae69b9ada2f.jpg
 
Pamoja kaka nitajitahidi... Nawaza hawa wageni walio Kuja huwenda Kati yako yupo mwenye michezo hiyo
Huenda ni hao wageni ama majirani

Shetani anafanya kazi usiku na mchana, ndiyo maana nimeshauri uwe unasali kabla hujalala
 
Mama watoto ana kucha ndefu? Yaweza kuwa ni mikwaruzo ya mapenzi au love scratch kama ilivyo love bite🤪
 
Kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy, hakumaliza wiki tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini
 
Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.

Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.

Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.

Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.

Wachawi hao, huwezi kwazurika hivyo uishtuke na kujua wakati unakwaruzika
 
Hilo ni tako au tumbo?
 
Iliwai kunikuta hiyo walinikwaruza kwenye bega la kushoto nilstuka usiku nasikia maumivi makali sana kugusa kuna ubichi wa damu.

kesho yake nikafunga safari mpaka nyumbani niliambiwa niosoge mpaka nifike home, nilifika moja kwa moja kwa mtaalamu akachukua kitambaa na dawa akagusisha pale penye mikwaruzo, mganga akafanya dawa zake pale

Mchawi mpangaji mwenzangu alitubu maana alivimba mkono kimbembe ni ikifika usiku mkono unamuuma usiku kucha wakabeba wakapeleka kwao alirudi baada ya mwezi mmoja mpaka nahama tulikua atusalimiani na alikua ananiogopa sana mbwa yule
 
Mchawi hawezi Kuja kukupiga chale usiku ila anaweza kuja kuchukuwa nywele zako kidogo akasepa kufanya DNA yake.

Mganga wa tunguli ndio anapiga chale kwahiyo ili upate chale ni lazima uende mwenyewe Kwa mganga na wembe wako wa TOPAZ
Nimekupata vizuri mkuu
 
Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.

Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.

Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.

Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.
Perhaps joto ama Kuna mdudu kakutembea, ama ni fungus, through upo mkoa gani tuanze na Hilo
Vuta bangi au pika pork mkuu hao washenzi hatawa rudi tena
Mimi napiga tungi la kistaarabu daily ndio maana wanga na wachawi hawana time na Mimi haaahaa 😂
 
Back
Top Bottom