kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
Nashukuru Mkuu kwa ushauri wakoKwa umri uliokaa na hao wanao nafikr uendlee kuish nao tu we mwenyewe
Nashukuru mkuu, but ushauri ni muhimu toka kwakoHongera kwa kuwa multipurpose yaani baba apo apo mama..... Sio kazi ndogo
Hongera pia bora aliondoka...Wakuu
Leo ni miaka nane imetimia toka niachwe na mke wangu, nasema ni mke wangu kwa sababu hakuna talaka yoyote tuliyopeana kisheria kuivunja ndoa yetu na kwa muda wote huo nimekuwa nikimbembeleza sana ili arudi tulee familia imeshindikana.
Sababu za kuniacha hazikuwa na msingi wowote, kwani alidai kuwa aliambiwa na rafiki zake kuwa nina uhusiano na dada mmoja, hivyo akaamua kuchukua uamuzi huo. Ukweli ni kuwa huyo ambaye nilituhumiwa kuwa na mahusiano naye wala nilikuwa simfahamu, nikamwambia alete ushahidi, ilishindikana zaidi ya maneno tu kuwa aliambiwa.
Nilijaribu kuwaomba wazee wamsihi na vikao vya ukoo vilifanyika lakini ilishindikana, juhudi zangu zote ziligonga ukuta, na hivyo kuwalazimu ndugu waniambie kama naweza kupata mwanamke mwingine, nioe.
Kwa muda wote huo nimeishi peke yangu nikiwa na wanangu, namshukuru Mungu kwa sasa wameshakua. Mmoja alimuacha akiwa na miaka 6 na sasa ana miaka 14 na mwingine alimuacha akiwa na miaka 3 na sasa ana miaka 11.
Huyo mke wangu, sasa yapata miaka sita imepita sijamtia machoni pangu, ila nasikia tu yupo mkoa fulani.
Wanajamii, nimeshindwa kuoa mwanamke mwingine kila nikifikiria mateso ambayo wanaweza kupata wanangu kutoka kwa mwanamke mwingine. Kila nikifikiria tu manyanyaso ambayo wanapata watoto wengine ambao wanalelewa na mama tofauti akili yangu inapoteza network kiasi kwamba hata sitamani kuoa tena.
Najiuliza, pengine hizo ndo tabia za wanawake wote au ni baadhi tu ambao kwao upendo umewapita mbali.
Naombeni ushauri waungwana!
Nashukuru kwa ushauri mkuu, lakini mi naona kwangu wapo mikono salama zaidi kuliko angekuwa nao yeye, ingawa kuna baadhi ya mapenzi wamekosa kutoka kwa mamaKaka acha kuishi kwa mazoea na mambo ya kufikirika. Wapo wanawake wanaweza kutesa watoto wa kambo na wapo wasiotesa
Hivi huyo mama yao mzazi si ndio mama yao wa Damu kabisa? Mbona hana huruma nao na amekuwa tayari kuwatesa kwa kuwaacha wataabike na wewe peke yako? Kama formula ni mama mzazi kupenda watoto na mama wa kambo kutesa watoto, mbona kwako haijafanya kazi hiyo formula?
Acha maisha ya endelee, huyo mama hakukupenda na alishaendelea na maisha yake kwann unambembeleza kwa miaka 8?
Acha hivyo jamaa, tafuta mama mwenye maadili, mwenye upendo oa akusaidie watoto hao
Ndo hivi mkuu, najiuliza hivi hawa akina mama wote ndivyo walivyo au ni baadhi tuHongera pia bora aliondoka...
Huenda ukakutana na kubwa zaidi ya kuachiwa watoto...
Baadhi ya hawa kina mama zetu huitikia sana maneno kutoka nje....
Jiulize mama anawezaje kumwacha mtoto wa miaka mitatu...?
Ingekuwa wote ungekuta wanajamvi wote wanalia...Ndo hivi mkuu, najiuliza hivi hawa akina mama wote ndivyo walivyo au ni baadhi tu
Usioe tenaWakuu
Leo ni miaka nane imetimia toka niachwe na mke wangu, nasema ni mke wangu kwa sababu hakuna talaka yoyote tuliyopeana kisheria kuivunja ndoa yetu na kwa muda wote huo nimekuwa nikimbembeleza sana ili arudi tulee familia imeshindikana.
Sababu za kuniacha hazikuwa na msingi wowote, kwani alidai kuwa aliambiwa na rafiki zake kuwa nina uhusiano na dada mmoja, hivyo akaamua kuchukua uamuzi huo. Ukweli ni kuwa huyo ambaye nilituhumiwa kuwa na mahusiano naye wala nilikuwa simfahamu, nikamwambia alete ushahidi, ilishindikana zaidi ya maneno tu kuwa aliambiwa.
Nilijaribu kuwaomba wazee wamsihi na vikao vya ukoo vilifanyika lakini ilishindikana, juhudi zangu zote ziligonga ukuta, na hivyo kuwalazimu ndugu waniambie kama naweza kupata mwanamke mwingine, nioe.
Kwa muda wote huo nimeishi peke yangu nikiwa na wanangu, namshukuru Mungu kwa sasa wameshakua. Mmoja alimuacha akiwa na miaka 6 na sasa ana miaka 14 na mwingine alimuacha akiwa na miaka 3 na sasa ana miaka 11.
Huyo mke wangu, sasa yapata miaka sita imepita sijamtia machoni pangu, ila nasikia tu yupo mkoa fulani.
Wanajamii, nimeshindwa kuoa mwanamke mwingine kila nikifikiria mateso ambayo wanaweza kupata wanangu kutoka kwa mwanamke mwingine. Kila nikifikiria tu manyanyaso ambayo wanapata watoto wengine ambao wanalelewa na mama tofauti akili yangu inapoteza network kiasi kwamba hata sitamani kuoa tena.
Najiuliza, pengine hizo ndo tabia za wanawake wote au ni baadhi tu ambao kwao upendo umewapita mbali.
Naombeni ushauri waungwana!
cc:kwetumasokoWakuu wana forum hii,
Habarini za leo,
Kuna msichana mmoja nilimpenda sana na ni muda mrefu nilikuwa nikimfuatillia ili tuwe wapenzi na hatimaye tuoane ili tujenge familia lakini cha ajabu aliniambia kuwa yeye ana mpenzi na kamwe hawezi kumwacha kwa sababu ndiye atakayemuoa na anampenda sana. Nikaona isiwe shida nami nikawa nimekata tamaa.
Sasa ni miaka minne imepita, naona anaanza kunifuatilia na kujaribu kuwa karibu nami, ingawa mpaka sasa bado sijaoa.
Naombeni ushauri juu ya huyu binti!
Hatari sana alikua hakumbuki kama kashauza chai na watu wametosheka anataka kurudia tenaufafanuzi tafadhari:
Alinikataa sasa ananihitaji
Thread by: kwetumasoko, Sep 20, 2016, 43 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
cc:kwetumasoko
GT huwa na kumbukumbu ya chai zoteufafanuzi tafadhari:
Alinikataa sasa ananihitaji
Thread by: kwetumasoko, Sep 20, 2016, 43 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
cc:kwetumasoko
Ni kweli mkuu nilipost issue kama hiyo, baada baada ya kuambiwa nioe but nikaapply kwa binti mmoja akanambia kuwa ana mtu wake anayempenda sana na kamwe hawezi mwacha, nikaona isiwe shida then baadaye akaanza kunitafuta na ndipo nikaja kwenu kuomba ushauriufafanuzi tafadhari:
Alinikataa sasa ananihitaji
Thread by: kwetumasoko, Sep 20, 2016, 43 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
cc:kwetumasoko