Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
1. Kwanza wanalipwa na watu wanaotangaza kwenye site zao na uhakika ushwahi ona tangazo limeandikwa sponsored au kama ni mtumiaji wa youtube katikati ya ya video wanakukatisha wanaleta tangazo hao ndio wanawalipa.
Pili wanalipwa na makapuni ya biashara kwa kuuza taarifa zako ambazo zitatumika kwenye kampeniz zao za biashara mfano page unazotembelea vitu unavyosearch online.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseemb unazotumia kwenye fb ,........whatsapp, na google huwa zina badilishwa ....!! Kuwa pesa
Kwa kifupi kabando kako hakana uhusiano wowote kwenye makusanyo ya whatsapp/FB.Wakuu naomba kupata mwangaza je hizi app kama WhatsApp, google FB nk,NI taasisi zilizo live na wana ofisi zao,je huwa wanajigharamiaje coz kwa mfano mm nanunua vocha huku naunga MB zangu nazitumia na mtandao husika wanakata gharama za huduma.ss hizi app maybe kule headquarters zao wanapataje malipo haya????
whatsapp haina adsInformation is Power tukisema information tunamaanisha Data wanalipwa kwa njia nyingi haswa Ads pia wanauza taarifa zako kwa kampuni za biashara ndo mana unashangaa unaletewa vitu ulivo interest navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji muongozo pia
Hakuna kitu kama hichoWanapata faida kubwa sana zile mb unazotumia kwenye fb ,........whatsapp, na google huwa zina badilishwa ....!! Kuwa pesa ndio maana wanatengeneza pesa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zilizoendelea wanalipia kwa mwaka
Mfano nchi gani? Of course nakumbuka hata pale miaka ya 2014 walikuwa wanasema unatumia one year then the next year you are supposed to pay $0.99. Lakini naona waliifuta. Kama wangeiacha huenda ndo ingekuwa kifo chao.Nchi zilizoendelea wanalipia kwa mwaka
Wanapata faida kubwa sana zile mb unazotumia kwenye fb ,........whatsapp, na google huwa zina badilishwa ....!! Kuwa pesa ndio maana wanatengeneza pesa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐๐Aisee JF raha sanaYaan unajibu kwa confidence kabisa wakati unaongea uharo dah [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kaniacha hoi kinyama, yaani nimeishiwa pozi sijui alikua anatania au laYaan unajibu kwa confidence kabisa wakati unaongea uharo dah [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
dah JF tamu sanajamaa kaniacha hoi kinyama, yaani nimeishiwa pozi sijui alikua anatania au la