mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kiukweli ukiangalia kwa kina sana. Utagundua hapa nchini hatuna Upinzani, Ila ni Jumuia za Waviziaji,Walalmikaji, Wengine wanatumia taasisi hizi kama mianya ya kufikia malengo yao binafsi.
Upinzani wa kisasa Sio wa Kutukana, Kuvuzia matukio, Kutafuta huruma, Kuchongeana na kujaa visingizio katika kila ufanisi duni wanaounyesha.
Upinzani wa kweli,
Ni upinzani wenye mbinu za kisasa, Uliojaa ubunifu. Unafananishwa na yule jamaa aliyeleta mgonjwa kwa mwalimu Yesu akakuta mlango umejaa watu, hakulalamika bali aliamua kupitia batini na mgonjwa wake akashushwa na kamba akaponywa. Wapinzani wetu wamewaacha wananchi wao wanataabika majimboni wao nguvu zote wamezielekeza kwa kiongozi mkuu utadhani hawana kazi nyingine kwa wananchi wao.
Hii ni changamoto kwa hawa wapinzani wetu wanaorandaranda nchi nzima wakimsimanga mtu ambaye wanasema anatimiza ilani yao.