Hili la mchanga ni pigo kubwa sana kwa upinzani

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,976
45,851
Hatua aliyoichukua Rais juu ya swala hili la Mchanga wa dhahabu ni kitendo kilichoonesha umakini na nia ya dhati ya serikali kusimamia rasilimali zetu hivyo kuongeza imani waliyokuwa nayo wananchi juu ya awamu hii ya uongozi.

Wakati hilo likitokea kitendo hicho cha rais ni moja ya misumari muhimu itakayosiliba kabisa matumaini ya wapinzani.

Kauli za baadhi ya wapinzani katika kukosoa kitendo hiki cha kizalendo ni matokeo na hasira za kupunguziwa hoja za kuinenea mabaya serikali.

Ni jambo lililowazi kuwa mambo hayakuwa sawa huko migodini wengi walilalamika hilo limedhihirishwa na matokeo ya kamati ya wataalam aliyoiunda Rais.

Ila baada ya juhudi hizo za wazi kuonesha mwanga wa utatuzi wa malalamiko yetu ya muda mrefu; wale wale waliokuwa kati ya walalamishi wameanza kugeuka kauli zao na kuanza kutuambia kwamba kilichofanyika ni makosa eti tutapata hasara kama Taifa.

Kauli hizo na nyingine nyingi toka upinzani zinatufanya baadhi yetu tuanze kujiuliza lengo halisi la upinzani hapa nchini ni nini?

Je malengo ya upinzani ni kuibua mabaya tu ili kupata umaarufu?

Je; serikali inatakiwa kukosea tu kila mara ili ikosolewe na upinzani?

Je; serikali haina haki ya kufanya mambo sahihi kwa watu wake?

Je; ni upinzani pekee ndio wenye haki ya kufanya mambo sahihi kwa wananchi.

Je; ni lazima upinzani ukosoe hata yale mazuri ya serikali?

Mwisho wa yote fikra zinamuongoza mtu kuona kama jambo hili jema limepunguza kete za upinzani na upinzani hawajalifurahia kwakua wanakosa agenda za kwenda nazo kwa wananchi.

Na fikra hizo hizo zinakutuma kuona kwamba upinzani wamekosa uzalendo na zaidi sana wanawaza umaarufu wao.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, ongea kishabiki mandazi lakini kuna siku utaficha uso wako nyuma ya ID feki mambo haya ya mchanga yatakapoanza kung'ata watu waanze kukimbiana! Hii ngoma ni nzito kuliko ubongo wako wa kayumba training unavyoweza kuhimili!!! Mambo ya mikataba ya kimataifa ni noma, unakumbuka sakata la samaki wa magufuli na mitambo ya Dowans iliishia wapi?! Acha ukasuku, fungua ubongo!
 
Hatua aliyoichukua Rais juu ya swala hili la Mchanga wa dhahabu ni kitendo kilichoonesha umakini na nia ya dhati ya serikali kusimamia rasilimali zetu hivyo kuongeza imani waliyokuwa nayo wananchi juu ya awamu hii ya uongozi.

Wakati hilo likitokea kitendo hicho cha rais ni moja ya misumari muhimu itakayosiliba kabisa matumaini ya wapinzani.

Kauli za baadhi ya wapinzani katika kukosoa kitendo hiki cha kizalendo ni matokeo na hasira za kupunguziwa hoja za kuinenea mabaya serikali.

Ni jambo lililowazi kuwa mambo hayakuwa sawa huko migodini wengi walilalamika hilo limedhihirishwa na matokeo ya kamati ya wataalam aliyoiunda Rais.

Ila baada ya juhudi hizo za wazi kuonesha mwanga wa utatuzi wa malalamiko yetu ya muda mrefu; wale wale waliokuwa kati ya walalamishi wameanza kugeuka kauli zao na kuanza kutuambia kwamba kilichofanyika ni makosa eti tutapata hasara kama Taifa.

Kauli hizo na nyingine nyingi toka upinzani zinatufanya baadhi yetu tuanze kujiuliza lengo halisi la upinzani hapa nchini ni nini?

Je malengo ya upinzani ni kuibua mabaya tu ili kupata umaarufu?

Je; serikali inatakiwa kukosea tu kila mara ili ikosolewe na upinzani?

Je; serikali haina haki ya kufanya mambo sahihi kwa watu wake?

Je; ni upinzani pekee ndio wenye haki ya kufanya mambo sahihi kwa wananchi.

Je; ni lazima upinzani ukosoe hata yale mazuri ya serikali?

Mwisho wa yote fikra zinamuongoza mtu kuona kama jambo hili jema limepunguza kete za upinzani na upinzani hawajalifurahia kwakua wanakosa agenda za kwenda nazo kwa wananchi.

Na fikra hizo hizo zinakutuma kuona kwamba upinzani wamekosa uzalendo na zaidi sana wanawaza umaarufu wao.
Kwani hii ilikupita mkuu??
Au umebemendwa na maccm?

Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?
 
Acha kupotosha watu kuwa wapinzani wanapinga hicho alichifanya Rais, wapinzani wanashauri namna ya kusolve hii ishu, nao watu wanafanya hayo wanayofanya kwa mikataba mibovu waliyoingia na watu wenu wa CCM, Leo manasema upinzani unapinga.......acheni kutafuta mchawi.
 
Sikio la kifa, hapo asitafutwe mchawi, wapinzani wamekuwa wakipiga kelele miaka mingi juu ya mikataba mibaovu, mawiziri na wabunge wanaotokana na ccm wakipinga vikali, leo wanakula matunda yake wanalalama, waridhani hasara inayotokana na mikataba mibovu, itakuwa ya wapinzani?
 
Hatua aliyoichukua Rais juu ya swala hili la Mchanga wa dhahabu ni kitendo kilichoonesha umakini na nia ya dhati ya serikali kusimamia rasilimali zetu hivyo kuongeza imani waliyokuwa nayo wananchi juu ya awamu hii ya uongozi.

Wakati hilo likitokea kitendo hicho cha rais ni moja ya misumari muhimu itakayosiliba kabisa matumaini ya wapinzani.

Kauli za baadhi ya wapinzani katika kukosoa kitendo hiki cha kizalendo ni matokeo na hasira za kupunguziwa hoja za kuinenea mabaya serikali.

Ni jambo lililowazi kuwa mambo hayakuwa sawa huko migodini wengi walilalamika hilo limedhihirishwa na matokeo ya kamati ya wataalam aliyoiunda Rais.

Ila baada ya juhudi hizo za wazi kuonesha mwanga wa utatuzi wa malalamiko yetu ya muda mrefu; wale wale waliokuwa kati ya walalamishi wameanza kugeuka kauli zao na kuanza kutuambia kwamba kilichofanyika ni makosa eti tutapata hasara kama Taifa.

Kauli hizo na nyingine nyingi toka upinzani zinatufanya baadhi yetu tuanze kujiuliza lengo halisi la upinzani hapa nchini ni nini?

Je malengo ya upinzani ni kuibua mabaya tu ili kupata umaarufu?

Je; serikali inatakiwa kukosea tu kila mara ili ikosolewe na upinzani?

Je; serikali haina haki ya kufanya mambo sahihi kwa watu wake?

Je; ni upinzani pekee ndio wenye haki ya kufanya mambo sahihi kwa wananchi.

Je; ni lazima upinzani ukosoe hata yale mazuri ya serikali?

Mwisho wa yote fikra zinamuongoza mtu kuona kama jambo hili jema limepunguza kete za upinzani na upinzani hawajalifurahia kwakua wanakosa agenda za kwenda nazo kwa wananchi.

Na fikra hizo hizo zinakutuma kuona kwamba upinzani wamekosa uzalendo na zaidi sana wanawaza umaarufu wao.
Ssm lini mtaacha upumbavu na ujinga huu..! Nikiri huwa kuna wakati ninakuwa nervous nikiona wapuuzi kama nyie mnachambua issues kitoto kitoto namna hii...!

Just imagine the same ssm(mkapa,jakaya plus the national assembly, legistrature and judicial) vyote hivi ni vinaongozwa na makada wa chama. Kama makosa wamefanya wenyewe kwa zaidi ya 60 sasa, so how come mje na condemnation za kipuuzi kwa wapinzani binafsi ssm ila kusema kweli nimepevuka sana. Si watetei wapinza ila pia siungi upuuzi unaofanywa na ssm.

Jifunze kujenga hoja kwa uyakinifu na umakini mkubwa inawezekana rais akawa na lengo zuri but approaches zake ni butu na pia ni fake kwa maana ipi??

Watu uliokubaliana nao kwa mikataba na mwa mjibu wa sheria zenu za nchi huwezi kukurupuka watakubana na kuzidia badae wakifuata taratibu.

Pia hili suala wame exaggerate sana, hivi lori(semi trailer 2) mnazijua vyema eti za dhahabu.

Tatu mzizi wa wizi ni mikataba fake na kinyonyaji sasa mikabata inasigniwa kwa mjiibu wa sheria ata kuiondoa you hv to follow the regulations.

Una mlaumu Muhongo bila kumlaumu (Mkapa, Jakaya) hii si sawa.

Utawala sheria lazima uheshimiwe na rais afanye mambo kwasababu ya uzalendo na siyo kutafuta credibilities za uhuruma ya watanzania, ukifanya kazi kutafuta uungwaji mkono utaharibu mapema mno.
 
kuna wanasiasa hawa wawili; ZITTO na LISSU, wanatumia vibaya sana umaarufu wao ktk siasa. hawana uzalendo kwa taifa hata chembe. nawahurumia ambao bado wanawaamini hawa jamaa.
 
Umekosa!!!!
Magufail ndiye anatafuta umaarufu kwa kutumia makamera ya video!!!
 
Mbona na waliotufikisha hapa wengine mmewakumbatia na kuwasafisha sasa hivi wanaishi kama malaika. Kweli wajinga ndio waliwao
in fact tumeitaka serikali Mara zote iwachukulie hatua kali za kisheria wezi wote wa nchi hii akiwemo lowasa, kikwete,chenge na mkapa aliyetuingiza kwenye wizi huu wa madini.

cha ajabu serikali hiihii ya CCM inashindwa kuchukua hatua pamoja na kuwa na vyombo vyote vya dola
 
Ssm lini mtaacha upumbavu na ujinga huu..! Nikiri huwa kuna wakati ninakuwa nervous nikiona wapuuzi kama nyie mnachambua issues kitoto kitoto namna hii...!

Just imagine the same ssm(mkapa,jakaya plus the national assembly, legistrature and judicial) vyote hivi ni vinaongozwa na makada wa chama. Kama makosa wamefanya wenyewe kwa zaidi ya 60 sasa, so how come mje na condemnation za kipuuzi kwa wapinzani binafsi ssm ila kusema kweli nimepevuka sana. Si watetei wapinza ila pia siungi upuuzi unaofanywa na ssm.

Jifunze kujenga hoja kwa uyakinifu na umakini mkubwa inawezekana rais akawa na lengo zuri but approaches zake ni butu na pia ni fake kwa maana ipi??

Watu uliokubaliana nao kwa mikataba na mwa mjibu wa sheria zenu za nchi huwezi kukurupuka watakubana na kuzidia badae wakifuata taratibu.

Pia hili suala wame exaggerate sana, hivi lori(semi trailer 2) mnazijua vyema eti za dhahabu.

Tatu mzizi wa wizi ni mikataba fake na kinyonyaji sasa mikabata inasigniwa kwa mjiibu wa sheria ata kuiondoa you hv to follow the regulations.

Una mlaumu Muhongo bila kumlaumu (Mkapa, Jakaya) hii si sawa.

Utawala sheria lazima uheshimiwe na rais afanye mambo kwasababu ya uzalendo na siyo kutbo afuta credibilities za uhuruma ya watanzania, ukifanya kazi kutafuta uungwaji mkono utaharibu mapema mno.
mara zote wapinzani wakitaka kukosoa jambo watakuambia kuwa approaches zinazotumika ni mbaya ila hawajawahi kuja na right approaches hata mara moja.

kupinga findings za ripoti ni kujipinga wenyewe.

wapinzani walikuwa wanadai tunaibiwa. ripoti imeconfirm hilo. sasa tatizo hapo likowapi?

kuunda tume pia ni wrong approach?
 
Back
Top Bottom