G Grim Reaper Member Jul 9, 2012 30 4 Sep 20, 2012 #1 Jaman wajumbe, vipi hapa katika allocations kuna second selection au ndo ishatoka...?
King Mutesa JF-Expert Member Aug 23, 2012 227 140 Sep 20, 2012 #4 Grim Reaper said: Jaman wajumbe, vipi hapa katika allocations kuna second selection au ndo ishatoka...? Click to expand... Wenye makosa wamepewa cku 14 kujirekebisha.!
Grim Reaper said: Jaman wajumbe, vipi hapa katika allocations kuna second selection au ndo ishatoka...? Click to expand... Wenye makosa wamepewa cku 14 kujirekebisha.!
ndupa JF-Expert Member Jan 25, 2008 4,403 141 Sep 20, 2012 #5 King Mutesa said: Wenye makosa wamepewa cku 14 kujirekebisha.! Click to expand... sijakuelewa mkuu unasemea wale walikuwa na makosa au??? naomba nieleweshe...
King Mutesa said: Wenye makosa wamepewa cku 14 kujirekebisha.! Click to expand... sijakuelewa mkuu unasemea wale walikuwa na makosa au??? naomba nieleweshe...