Je hili linawezekana?

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,843
9,278
Wakuu wa jukwaa hili habarini,
Naomba kuwauliza swali dogo tu linalonitatiza natumaini mtanijibu. Eti inawezekana mtu aliyesoma Sayansi O-level na combination kubalance lakini A-level akasoma arts (HGL), kuapply kozi za Sayansi kwa kutumia cheti cha O-level?

Je kama inawezekana ni kwa ngazi ya Diploma, Degree au Cheti?
 
Back
Top Bottom