Ndio awe na adabu tu, akinipokonya heshima yangu kwa dizaini hiyo lazma itakua al-kisas al-haq! guasa Sema uzuri huwaga wale jamaa hawapokeagi kesi za mapenzi
Deeboyfrexh hata kutokubaliana pia ni makubaliano coz kama tabia yake ndo hiyo utageuka Mike Tyson sasa kama imeshindikana kunyooka bora mpeane mkono wa kwa kheri mapemaaa.
Nafikir sio investment tu ambayo ikifikia peak inaanguka . hata mapenzi yapo hivyo hivyo may be mtu atumie akili saana ya kumfanya mwenzake asimchoke.hata kwenye ndoa watu wanachokana but busara na akili hutumika zaidi kunusuru hali...