Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,596
Unasubiri hadi uambiwe "SIKUPENDI TENA" ndio ujue umechokwa?
Watu sijui kwanini hawaamini kuwa mapenzi nayo yana life span....!
Unasubiri hadi uambiwe "SIKUPENDI TENA" ndio ujue umechokwa?
Chanzo ni ubahili wako wa hela ambao umepelekea mapenzi kuisha.
Wanawake wasikuhizi wana tamaa sana
Outing zote zile + Zawadi kedekede??? still bado nakuwa mbahili apooo Apologise lady
sidhani kama dushe inaweza kuwa chanzo, huwa huduma inawatoshelezaga but still majanga? MO11
unaamini vipi unawatosheleza?
Basi pole, au sekta nyingine haupo vizuri ndio maana kaboreka.