oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari zenu,je ni sahihi kwa ndugu yako mfano dada yako,mama yako au hata housgal wako,au ndugu mwngne wa kike/kiume kuingia chumba unacho lala na mume/mke wako?
Shosti kumbe hata mimi nikikutembelea ni marufuku kuingia bedroom kwako? Nadhani unajua wazi kwamba sisi watawa hatuna madhara.si sahihi labda kama waumwa na wahitaji msaada wao....
Shosti kumbe hata mimi nikikutembelea ni marufuku kuingia bedroom kwako? Nadhani unajua wazi kwamba sisi watawa hatuna madhara.
mimi pia nimeona sio sahihi,kuna sehemu nipo na nimeona hio kitu,ndio maana nikaandika hapa
habari zenu,je ni sahihi kwa ndugu yako mfano dada yako,mama yako au hata housgal wako,au ndugu mwngne wa kike/kiume kuingia chumba unacho lala na mume/mke wako?