Maadili ya kitanzania nayo yana sections na dependency. Kuna maadili ya kihaya tofauti na maadili ya kizaramo au ya kimakonde. Kuna maadili ya watanzania wenye asili ya asia tofauti na maadili ya wamasai.
Watanzania wenye asili ya masaki LABDA wanaweza ila kwa watanzania wa asili ya masasi ni ngumu kidogo