Smart Man + Smart Woman = Romance .
Smart Man + Dumb Woman = Affair .
Dumb Man + Smart Woman = Marriage .
Dumb Man + Dumb Woman =Pregnancy!!!
Smarter Man + Smart Woman = Breakup
Smart Man + Smarter Woman = Heartbreaa
Msaranga, mbona unanitisha? I'm smart na mke wangu ni smart pia na tunapendana mno (japo naibia nje kidogo ila nampenda mke wangu ile mbaya), sifikirii kumwacha hata siku moja kwani sioni mwanamke anayelingana naye huko nje. Kidogo naweza kumlinganisha na FP hapa JFna ndiyo maana natamani sana kumuona yeye live nimpe offer ya mishikaki.
Msaranga, mbona unanitisha? I'm smart na mke wangu ni smart pia na tunapendana mno (japo naibia nje kidogo ila nampenda mke wangu ile mbaya), sifikirii kumwacha hata siku moja kwani sioni mwanamke anayelingana naye huko nje. Kidogo naweza kumlinganisha na FP hapa JFna ndiyo maana natamani sana kumuona yeye live nimpe offer ya mishikaki.
ayanda, hayo unayosema hapo juu ni hisia zako. Kwani nani amekuambia mke wangu hatongozwi nje? Mimi mbona sijasema hayo na sina mashaka nayo kwani mke wangu ni bomba mno, yaani ni mzuri kupita na nampenda kwa kila kitu. Hivyo kutongozwa kwake mimi sishangai na nilishamweleza kama itatokea kaingiwa na shetani basi ajikinge. Kutongozwa ama kutoka nje ya ndoa tupende tusipende ni jambo la kawaida sana ila basi tu watu hawataki kuamini hivyo. Wewe mwanamme kama una hamu ya kutoka nje ya ndoa na mkeo pia anajisikia hivyo hivyo, tusidanganyane. Wanafilana mapadre na walokole sembuse sie?WEWE mkeo kweli ni smarter, anajua kuweka mambo chini ya carpet.
unadhani yeye hatongonzwi nje, usiusemee moyo my bro utakuja shangaa
ayanda, hayo unayosema hapo juu ni hisia zako. Kwani nani amekuambia mke wangu hatongozwi nje? Mimi mbona sijasema hayo na sina mashaka nayo kwani mke wangu ni bomba mno, yaani ni mzuri kupita na nampenda kwa kila kitu. Hivyo kutongozwa kwake mimi sishangai na nilishamweleza kama itatokea kaingiwa na shetani basi ajikinge. Kutongozwa ama kutoka nje ya ndoa tupende tusipende ni jambo la kawaida sana ila basi tu watu hawataki kuamini hivyo. Wewe mwanamme kama una hamu ya kutoka nje ya ndoa na mkeo pia anajisikia hivyo hivyo, tusidanganyane. Wanafilana mapadre na walokole sembuse sie?
Inawezekana ni kweli huoni wa kumlinganisha naye huko nje kwa sababu hao wa nje wanakuja kwako na wako akitoka nje haji kwako..Msaranga, mbona unanitisha? I'm smart na mke wangu ni smart pia na tunapendana mno (japo naibia nje kidogo ila nampenda mke wangu ile mbaya), sifikirii kumwacha hata siku moja kwani sioni mwanamke anayelingana naye huko nje. Kidogo naweza kumlinganisha na FP hapa JFna ndiyo maana natamani sana kumuona yeye live nimpe offer ya mishikaki.
Smart Man + Smart Woman = Romance .
Smart Man + Dumb Woman = Affair .
Dumb Man + Smart Woman = Marriage .
Dumb Man + Dumb Woman =Pregnancy!!!
Smarter Man + Smart Woman = Breakup
Smart Man + Smarter Woman = Heartbreaa
Inawezekana ni kweli huoni wa kumlinganisha naye huko nje kwa sababu hao wa nje wanakuja kwako na wako akitoka nje haji kwako..
Huo ni mtazamo wako,uko sahihi,ongezeni bidii,mtavuna mnachokipanda.
Mi naweza kutoa testimony from experience about hiyo ya kwanza. mengine sijui, waulizeni vilaza nao waseme.
smart is a relative term. it is not permanent, everyone thinks that he/she is smart.
My sarcastic post said just that.
....and how would ur realistic post suggests?