Heshima mbele wadau..
naomba kujuzwa kama ni kweli kuna uwezekano wa ku lock usb port kwenye computer ili mtu anapochomeka flash disk isiitambue mpaka aweke password..
pia jinsi ya ku ficha mafaili mtu asiweze kufungua ila kwa password.
natanguliza shukrani...