Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Vipi! Umeumizwa kimapenzi hadi umekumbuka huu wimbo?Pole!
Hapana ndugu, basi tu...nlikuwa nautafakari ila nikawa naona kama uko kimaigizo zaidi......sidhani kama una ukweli
Kwanini ume post thread hii? What is the motive behind Mrembo? Just tell me.
Kweli nliwahi kutendwa.....nililia kwa muda wa mwaka mzima, sitasahau maisha....ila sikumuomba turudiane.......
mh!! inawezekana lakini si unajua ukishaumizwa? labda huko kwa wenzetu, bongo inataka moyo ulio tayariim not out to go out and cheat on you all night
Just like you did baby but thats all rightHey, I love you anyway
And Im still gonna be here for you till my dying day baby
Right now, Im just in so much pain baby
Coz you just wont come back to me
Will you? just come back to me
Hapo ndipo ulipofanya makosa makubwa. You have to Forgive and Forget!