Unapouliza kitu na ukatoa maoni yako inamsaidia anaekujibu kujua wewe unachowaza. Kwenye kutoa jibu atakusahihisha na kukwambia hilo jibu lako uliweke pahala gani ili siku nyingine usijekuchanganya mambo tena.
Huyo muuliza swali ameshajua hiyo sio camera, kwa maana hiyo keshajua camera ikoje na ina utofauti gani na hizo sensor na kwanini iko hapo nk.
Usicomplicate mambo bibie, kama ulipitia shule basi ukienda kwa mwalimu kuuliza swali nae atauliza wewe hapa jibu ungejaza nini?? Ukitoa jibu lako nae atakupa jibu sahihi na maelezo hilo jibu lako lafaa uliweke wapi.