Angalizo kwenye kuweka hii kitu jitahidi iwe sehemu isiopata mwanga wa taa endapo zikiwaka. Kuna fundi alifunga zangu alafu akaziweka pembeni kabisa ya taa kilichotokea dah vichekesho giza limeingia taa inawaka then inadetect mwanga inazima mpka niliporudi wife haelewi nn tatizo ikabidi nimrudishe fundi tuzihamishe