Je, hii ni haki? Wabunge wageni na wenyeji

meku7

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
375
266
Mh spika anawataarifu wabunge wageni na wenyeji wanaotaka kuchangia hutuba ya Mh Rais wajaze fomu.

Wadau kauli hii ipo sawa kwani Bunge hili wabunge wote ni wapya na awamu ni mpya.
 
Mh spika anawataarifu wabunge wageni na wenyeji wanaotaka kuchangia hutuba ya Mh Rais wajaze fomu.

Wadau kauli hii ipo sawa kwani Bunge hili wabunge wote ni wapya na awamu ni mpya.

Ni sawa, wapya waliochaguliwa kwa mara ya kwanza, wa zamani waliorudi mara ya 2,3 au zaidi!!!!!!!!!!
 
Ndugai anataka kutuletea enzi za unjuka sekondari........atumie lugha inayopendeza kwa wabunge wote.
 
Back
Top Bottom