Samahani wanajamvi, poleni na majukumu.
Nimekutana na hii kitu na ni mgeni kabisa wa mambo haya, sijui ni nini na sijui soko lake likoje kwa kifupi sijui pa kuanzia.
Kama ni dhahabu nini nifanye na soko napata wapi na kama sio nifanyeje, kwa wenyeji wa haya masuala ya madini please naomba msaada nipate abc za kufuata. Nimeweka picha hapo chini.
Asante
View attachment 2693633View attachment 2693634