Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,024
Hiyo ni special task for special reason. Sio Demotion wala promotion but recategorizationWataalam wa medani za ujasusi na ulinzi wa viongozi njooni mtuweke sawa, kutoka kumlinda namba 1 moja mpaka kwenda kwa Mzee wa Mjengoni, je hii ni demotion au promotion? Au ni mgawanyo tu wa kazi? Tunasaubiri majibu wakuu...
View attachment 1092792