Kaumbuka.
Hawa vijana ni wajinga sanaKaumbuka.
Chadema ni mpango wa mungu
Utoto mtupu, aina ya picha yako hii hata ukiwapiga watu katika kikao cha wazazi 60 wa kidato cha kwanza shuleni wataonekana kama maelfu.
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya chadema…?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.
Wote nyie mko sahihi, yeye ameleta picha za drones then ww ni za closeup
Hv wewe una miaka mingapi?!!!
una maanisha umri au miaka ya kuwemo jfHv wewe una miaka mingapi?!!!
Chadema ni mpango wa mungu
Ww kataa tuu ila huo ndio ukweli, 2025 ccm wasipoiba kura kama kawaida yao lazima tuingie IkuluMaviiii