Je, hii inaweza kuwa Sleeping sickness

Kihoronge

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
538
690
Natumai hamjambo.

Jukwaa hili naamini lina wataalam wa afya. Naomba mnisaidie. Siku za karibuni nimekuwa na tatizo la kuumwa na viungo. Hasa vya mikono na shingo. Na kusinzia kila mara ofisini.

Hii inaweza kuwa ni ugonjwa wa sleeping sickness?
 
Cheki na Dr hospital
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom