Achana na Hilo gari banaaa..
Toyota IST zipo zenye milage ndogo nyingi Sana kwanini ukimbilie kununua gari kama hiyo?
Kama unahitaji IST basi nunua hata ya mkononi utapata yenye milage ndogo kuliko hiyo just imagine gari ina km 200000 alafu utaitumia Kwa kipindi cha miaka kadhaa unafikiri utaweza kuuza Kwa Mtu?