Je, hii gari inafaa kweli kuagiza?

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
546
545
Wakuu heshima kwenu

Kwa hizo mileage ambazo gari imetembea kama inavyoonyesha hapo 209,000 cash bila kupepesa macho ikiwa Japan kwa Bongo naweza kuendelea kuitumia tena kwa kipindi kirefu nikijali services na utunzaji?

Maana mileage hizo zimenitisha sana.

Screenshot_20200114-213137_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Hilo gari banaaa..
Toyota IST zipo zenye milage ndogo nyingi Sana kwanini ukimbilie kununua gari kama hiyo?
Kama unahitaji IST basi nunua hata ya mkononi utapata yenye milage ndogo kuliko hiyo just imagine gari ina km 200000 alafu utaitumia Kwa kipindi cha miaka kadhaa unafikiri utaweza kuuza Kwa Mtu?
 
Kuna jamaa waliuziaga ndinga ina km 231000 nilikua sina uzoefu na magari sema nikaja uza bada ya miezi sita kwa pungufu ya milion mbili..

Imepita miaka mitano na nusu ila gari naionaga road sa sijui walishusha injini au ndio ile ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom