Je, Haya ni ya kweli?

Je, Haya ni ya kweli?

Syo ya kwel mkuu,kila mwanaume anapenda na anataman kuwa na mchepuko tatzo ni...

>Hana kipato cha kuutunza mchepuko huo ili hali hata familia yake inamshinda

>Level au Wadhifa wake ktk jamii unambana sna maana ni kioo cha jamii

>Hana nguv za kutoshesha kwa kuhudumia mchepko

Hna mda wa kutosha wa kuhudumia mchepko na wife kwa wkt ata toft

>Hana uwezo (techinic)kumudu kila mara kumdanganya mkewe kuwa amechelewa kazn

>Malengo au bajet ya mwaka inazingua,maana mchepko wa sku hiz unademand hela ndef as if wew bank yke

Nawasilisha mkuu

Idilogy super star
Umejibu kwa ufasaha sana
 
Yote yanawezekana kumbuka hii dunia ina watu bilioni moja na zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom