Je hawa wanasifa gani?

Watu wa piece sana,na watoto wa kike wana adabu na utii kwa waume zao kinoma........yaaani ni rubudani kinomanoma!.......ero,karibu kwa boma!........ukitufurahisa tabadilisha wewe ubini taku Ole Kisilaa au Saibul!:becky:
 
Watu wa piece sana,na watoto wa kike wana adabu na utii kwa waume zao kinoma........yaaani ni rubudani kinomanoma!.......ero,karibu kwa boma!........ukitufurahisa tabadilisha wewe ubini taku Ole Kisilaa au Saibul!:becky:


Mama yangu weweeeeee! acha nikazane kumezesha mwenzake mpaka,swiii.Pia mkuu hyo post cjakupata hapo mwishon()
 
Kwa kweli umebahatika sana sababu hawana hasara kabisa. Kitu utakachomnunulia ni shuka, shanga na udongo mwekundu....ni warembo sana.. Kazi kwako!
 
Kwa kweli umebahatika sana sababu hawana hasara kabisa. Kitu utakachomnunulia ni shuka, shanga na udongo mwekundu.... Kazi kwako...


Acha kuzingua mtt modern ni kabila lake 2,hata hajui lugha yao ,yani ful swaga sema humu ctaki kuweka ma photos
 
heeeh!!! sa unataka msaada wa walionuna..utaweza?


Huu ndo msaada niliowaomba ndugu zangu
Nina mchmba wangu
kabila lake ni m-masai
kama kuna anayejua
kdogo wasifu wao
anambie
 
Wataratibu sana wasichana wa kimasai ukijumlisha na shape nzuri lo! Hawajichetui ovyo
 
Wataratibu sana wasichana wa kimasai ukijumlisha na shape nzuri lo! Hawajichetui ovyo

Thanks xana mkubwa kwanza kunipa nilichouliza pia kwa kuwa seriouz na post yangu maana kuna vlaza wa kuropoka humug,thanks xana mkuu
 
Huu ndo msaada niliowaomba ndugu zangu
Nina mchmba wangu
kabila lake ni m-masai
kama kuna anayejua
kdogo wasifu wao
anambie

Kama wakwako umeshasema kwa baadhi ya comments zako,kama sikosei kuwa ni modern girl na hana characters za masai tradition,na hajakulia umasaini basi mchunguze taratibu jipe muda wa kumjua alivyo ,umodern wake upo wapi na unautofauti gani na tabia za mabinti wa kimasai ambazo unapewa hapa, hapo hakika utamjua na kumuelewa.. Goodlucky
 

Thanks xana,nitaendelea kufanya hivyo.Kwan nmekuwa nkifanya muda sasa! umepita
 
Napenda kutoa shukrani kwa wote walioshrika katika hii post,god bles you!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…