Je hawa wanasifa gani?

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Nina mchmba wangu kabila lake ni m-masai kama kuna anayejua kdogo wasifu wao anambie

Kazi kwenu!
 
Nina mchmba wangu kabila lake ni m-masai kama kuna anayejua kdogo wasifu wao anambie

Kazi kwenu!

Vyanzo vyao vikubwa vya mapato ni ulinzi na kuuza dawa za miti shamba.

Kazi kwako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kazi kwetu tena..

yani unipe sifa zao
 
Vyanzo vyao vikubwa vya mapato ni ulinzi na kuuza dawa za miti shamba.

Kazi kwako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Duh mtoto wa kike mlinzi?
 
Jiandae ku-share mapenzi
Kazi ni kwako
 
Duh mtoto wa kike mlinzi?

Atauza dawa za mitishamba, si haba kwasababu magonjwa madogomadogo yatakuwa historia kwako na utapata zile dawa za kuongeza speed kwenye yale mambo yetu ambazo ni za grade A.

Kazi kwako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Atauza dawa za mitishamba, si haba kwasababu magonjwa madogomadogo yatakuwa historia kwako na utapata zile dawa za kuongeza speed kwenye yale mambo yetu ambazo ni za grade A.

Kazi kwako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Yan furu fahara itabd nimpe hz post leo
 
Mimi nipo umasaini muda mrefu, Ndugu yangu hawa jamaa wanaoana kwa ukoo, sasa wewe ni kabila gani? Kama sio M-masai mila zao hutaziweza. Mchunguze huyo mtu wako kama hana mume aliyemchumbia tangu akiwa mdogo, na ni wapi mlikutana kama ni Shuleni au Chuo zingatia haya. Vinginevyo siku mkifika kwao ukae tayari kuliwa unaona na Watakuita Mswahili.
 
... Wanavaa shanga nyingi.
Kazi kwako!
 
... Wanavaa shanga nyingi.
Kazi kwako!

... Pia wanawekewa fimbo mlangoni.
Ukiona hivyo elewa kuwa mme mwenzio yuko ana mmega mkeo.
Kazi kwako.
 


Yes kaka nmekutana nae katka mazngra ya shle,ila yeye kakulia arusha mjini na hata hiyo kabila hajui kuongea,kuhusu suala la kuoana kwa uko nilimwuliza akasema ,nisiwe na wac kuhusu hilo....Pia babayake na kaka zake ni w2 ambao wameenda shule za kiwango cha juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…