Je, GPA ya 3.0 unaweza kusoma masters?

Je, GPA ya 3.0 unaweza kusoma masters?

House Boy

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
103
Reaction score
91
Habari wanajukwaa.

Napenda kuuliza kwa yeyote anaefahamu kuhusu entry requirement na vigezo vya mtu kusoma masters katika vyuo vyetu vya hapa TANZANIA kwa mwanafunzi aliemaliza degree ya kwanza na kupata 3.0 GPA.
 
Undergraduate umesoma course gani mkuu! na unataka kusoma masters ya nini!
 
Kwa Tanzania kwa uhakika ukiwa na GPA 2.7/5 unakwenda masters bila tatizo. Wasi wasi wangu ni hawa wakina Ndalinani kila wakilala wanafikiria kukaza nati. F6 wamesha washughulikia sasa wanaweza kuzuka na mpya (Kenya kwa ujumla sasa wanataka second upper ambayo ni 3.5/5)
 
Nimeelewa kaka mkuu
 
Ndiyo unaweza kusoma masters vyuo vingi tu.
Ila jiulize, unaenda kusoma masters kwa nini? Maana wabongo wengi nimeona wanafanya vitu kwa ajili ya kukusanya magamba tu mwisho wa siku wanamaliza bado hawaelewi maisha yao yanakwenda wapi. Have a goal, bachelor degree ni kwa kila mtu ila masters au phd ni ya a very specific set of people.
 
Je Mwenye Pass(gpa 2.0_2.6) Ya Account Na Anataka Kusoma Masters Ya Corporate Finance Au B.A Inawezekana?
 
Habari wanajukwaa.

Napenda kuuliza kwa yeyote anaefahamu kuhusu entry requirement na vigezo vya mtu kusoma masters katika vyuo vyetu vya hapa TANZANIA kwa mwanafunzi aliemaliza degree ya kwanza na kupata 3.0 GPA.
Ndiyo mkuu,

Hakuna chuo kitakachokukataa hapa Tz unless ni kwa very specific programme yenye limits kadhaa na kwa sababu maalum
 
Je Mwenye Pass(gpa 2.0_2.6) Ya Account Na Anataka Kusoma Masters Ya Corporate Finance Au B.A Inawezekana?
Inabidi kwanza ufanye post graduate baadae ndo ufanye masters kutokana na gpa yako.
masters mara nyingi inataka 2.7 and above gpa
 
me Nina gpa ka yako..last year nilipata admission udsm MBA
 
Unasoma ndiyo, we ingia kwenye website za vyuo mbali mbali uangalie requirements zao.
 
Back
Top Bottom