K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,292 Reaction score 4,785 Jul 21, 2012 #1 Naomba kujua kama kushirikiana kimatangazo na Google kupitia Google Adsense kama kuna faida au la? Naomba kuwakilisha. AMANI IWE NASI....
Naomba kujua kama kushirikiana kimatangazo na Google kupitia Google Adsense kama kuna faida au la? Naomba kuwakilisha. AMANI IWE NASI....
cerengeti JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,879 Reaction score 1,631 Aug 30, 2012 #2 SANAAAAAA. ninapata USD 120 - 150 kila siku. naweza kukuonyesha jinsi ya kufanya. napatikana 0655 308308 email: dgjamesonltd@gmail.com
SANAAAAAA. ninapata USD 120 - 150 kila siku. naweza kukuonyesha jinsi ya kufanya. napatikana 0655 308308 email: dgjamesonltd@gmail.com
khaliciouz JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 579 Reaction score 212 Mar 5, 2016 #3 pesa za kumwaga sana nicheki 0713774746
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 5, 2016 #4 khaliciouz said: pesa za kumwaga sana nicheki 0713774746 Click to expand... cerengeti said: SANAAAAAA. ninapata USD 120 - 150 kila siku. naweza kukuonyesha jinsi ya kufanya. napatikana 0655 308308 email: dgjamesonltd@gmail.com Click to expand... Sasa wakuu mpaka tutafutane kwa simu tena... Mwageni upupu hapa hapa jamvini
khaliciouz said: pesa za kumwaga sana nicheki 0713774746 Click to expand... cerengeti said: SANAAAAAA. ninapata USD 120 - 150 kila siku. naweza kukuonyesha jinsi ya kufanya. napatikana 0655 308308 email: dgjamesonltd@gmail.com Click to expand... Sasa wakuu mpaka tutafutane kwa simu tena... Mwageni upupu hapa hapa jamvini
D Dom_king Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7 Reaction score 0 Mar 1, 2017 #5 Wekeni mambo hazarani kila mtu ajuwe c mambo yakuwindana uko