njia mbadala mzee wa watu apumzike tu sasa, kashahudumu mpaka uwaziri mkuu ukamshindaa then inatoshaa akapumzike mzee Lowasa aache kuhangaika, na uzee ule kutaka kuanza kupiga madili tena haifai
hii ni karata ya mwisho kwa ccm wasipompitisha mtu maarufu wamekwisha na mtu maarufu kwa wakati huu ni Lowasa peke yake huyo ndo anaweza kuhimili nguvu ya ukawa vinginevyo wamekwisha.